Uchaguzi 2020 Miraji Jumanne Mtaturu anatosha 2020 Ikungi

sifundishwi siungi mkono ugaidi alaf ikungi sio jimbo LA uchaguzi bali tunamajimbo mawil ya singida mashariki na magharibi ambalo ni baya zaidi
 
Kwako ni fahari bunge kua na wabunge kama Goodluck Mlinga,Lusinde,Msukuma,Abood na vilaza wengi jamii ya ndioooooooo kwa kila kitu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
BENARD KAMILIUS MEMBE ANATOSHA 2020
 
Hao wananchi kodi wanamlipa Tundu Lisu? Wewe kilaza hata elimu ya uraia huifahamu!! Uliambiwa mbunge ndiye anayejenga barabara, kuleta maji au kujenga mashule nk?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana lissu huwa haongelei maendeleo
 
Tangu 1961 mmeshindwa ndio leo muweze. Bange mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu 1961 mmeshindwa ndio leo muweze. Bange mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
ndivyo walivyojipanga na kanafiki fulani kanaitwa ka-kingu kale kabunge kanakojipendekeza kwa bwana mkubwa pale magogoni. Ni wanasiasa wanafiki wakitumia propaganda za kijinga na za kitoto wakitaka kuwaaminisha watu kwamba wanafaa lakini wapi. Kingu kwa mfano katika kutaka kujionesha kwa wananchi aliahidi kutoa bati kwa shule moja ambayo kata hiyo iko chini ya chadema kwa ajili ya kuezeka maabara illi itumike kwa ajili ya kupokea watoto wa kidato cha kwanza lakini alipofika na kukuta diwani ashapeleka bati pale hajatokea mpaka leo kwenda kuwaambia wananchi ni kwanini ameshindwa kutoa bati katika shule hiyo. Wilaya ya Ikungi ina siasa za kinafiki na uzandiki. Na hawa watu wawili mtaturu na Kingu ni marafiki.
 
Yametimia kabla 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…