Miraji kikwete atoa fulani kwa ajili ya msiba wa msanii mangweha

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
675
Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia).

Miraji akiwa katika pozi na fulana sawa na ya marehemu Mangweha hapo chini.…

[h=3]MIRAJI KIKWETE ATOA FULANI KWA AJILI YA MSIBA WA MSANII MANGWEHA[/h]Posted by GLOBAL on June 2, 2013 at 5:00pm 0 Comments 1 Like
Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia).
Miraji akiwa katika pozi na fulana sawa na ya marehemu Mangweha hapo chini.…
http://www.globalpublishers.info/pr...-fulani-kwa-ajili-ya-msiba-wa-msanii-mangweha
Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia).
Miraji akiwa katika pozi na fulana sawa na ya marehemu Mangweha hapo chini.
Marehemu Albert Kenneth Mangweha enzi za uhai wake.
Mdau wa muziki nchini, Miraji Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete leo amekabidhi fulana kwa ajili ya shughuli ya msiba wa msanii Albert Kenneth Mangweha katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.

Kazi nzuri sana,Hongera miraj
 
P funk fujo zote kwa Clouds kumbe wanagombania kujipendekeza kwa the 1st Family!
 
hongera sana Miraji,hope kuna kitu umejifunza na wewe kupitia kifo cha mangwea na utajirekebisha
 
Mode hz mambo zinajaza server unganisha na ile thread nyngine inayozunguzia huyu dogo kutoa T-shirt 500!
 
Mbona hii habari iko hapa JF tangu juzi!? au mleta mada anaishi North Korea?
 
safi sana miraji....

Kwanini asingemsaidia hizo hela wakati akiwa hai ili apate kuachana na unga? Nadhani kujifanya kumkumbuka akiwa mfu si issue ni kuuza tu!
 
P funk fujo zote kwa Clouds kumbe wanagombania kujipendekeza kwa the 1st Family!

mh PFUNK MajanI hawezi kujipendekeza kwa mtoto wa rais ambae alifukuzwa na jakaya akalelewa pale block 41 na kalapina kipindi hicho PINA ALIKUA BONGO RECORDS usionge kitu ambacho ukijui,
 
Sikubaliani na huyu dogo hata a unit coz kuspend hela nyingi kwenye mazishi wakati akiwa hai unakuwa huna mpango nae si ishu labda kuna kitu kimejificha nyuma yake
 
Sikubaliani na huyu dogo hata a unit coz kuspend hela nyingi kwenye mazishi wakati akiwa hai unakuwa huna mpango nae si ishu labda kuna kitu kimejificha nyuma yake
Hakuna kilichojificha wote ni mateja, au ulivyosikia ni mtoto wa Kikwete ndio bichwa lako limepasuka ukadhani ni mtu wa maana sana? Huyo Miraji Kikwete ni mtoto wa maskani ya King"oko na ni mbwia unga mzuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…