Miraji Kikwete atoa Tisheti 500 kwa msiba wa Ngwair

Miraji Kikwete atoa Tisheti 500 kwa msiba wa Ngwair

Dingi mchafu

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
85
Reaction score
13
Miraji kikwete bila shaka kwa niaba ya ccm na labda mkuu wa kaya ametoa Tsht 500 apa leaders kusapot msiba wa ngwea.Bila shaka ccm wamesikia kelele za kumsapot artist aliewasaidia ktk kampeni

PicsArt_13700977199659543312.jpg
 
Aaah ila poa tuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
da sasa wakitoa misaada kasha wakikaa kimya kashfa du aisee bongo kaazi kweli kweli......
 
duuu kama madomo kaya haya slaaaa apeleke magwanda basi tuone mana mtoto wake bado mchanga
 
Ingekuwa kagaramia kusafirisha mwili wa marehemu ningemuelewa, ni ujinga ku support T- shirt wakati unahitajika msaada wa kufikisha mwili nyumbani Tanzania...
Waache kutufanya wajinga Ngwair ni mtoto wa mtanzania anahitaji haki zote Kama mtanzania toka kwa serikali na ubalozi wa Tanzania south africa... Leo mtanzania anafia nje na ni maarufu na serikali imekaa kimya as if hakuna kitu kimetokea!!! Serikali ioneshe basi inajari watu wake japo kwa hao ambao taifa zima linawajua... Hata itoe tamko kuwa wanataka kujua vijana wao imekuwaje mpaka wamekufa na kupata matatizo kwa namna ile? Kwa hao maarufu hali ndo hiyo je watoto wamkulima hali itakuwaje kama sio kitupwa kama mbwa na kusahauliwa pale pale...
 
da sasa wakitoa misaada kasha wakikaa kimya kashfa du aisee bongo kaazi kweli kweli......

huu msaada unamsaidia nani?ngweair?, mjane?. yatima?, marehemu? au!. nadhani mtoa msaada anauza jina.
 
Back
Top Bottom