Ingekuwa kagaramia kusafirisha mwili wa marehemu ningemuelewa, ni ujinga ku support T- shirt wakati unahitajika msaada wa kufikisha mwili nyumbani Tanzania...
Waache kutufanya wajinga Ngwair ni mtoto wa mtanzania anahitaji haki zote Kama mtanzania toka kwa serikali na ubalozi wa Tanzania south africa... Leo mtanzania anafia nje na ni maarufu na serikali imekaa kimya as if hakuna kitu kimetokea!!! Serikali ioneshe basi inajari watu wake japo kwa hao ambao taifa zima linawajua... Hata itoe tamko kuwa wanataka kujua vijana wao imekuwaje mpaka wamekufa na kupata matatizo kwa namna ile? Kwa hao maarufu hali ndo hiyo je watoto wamkulima hali itakuwaje kama sio kitupwa kama mbwa na kusahauliwa pale pale...