Miraji Kikwete atoa Tisheti 500 kwa msiba wa Ngwair

Kwan T-shirt 500 ni bei gan mpaka mchonge kenga kiasi hcho???! Mbona ni chini ya 2M. Sasa kwa mtoto wa Presda kuna tatizo gan.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Tell them, hela ya chai hiyo.... Misaada ikitolewa maneno, isipotolewa maneno......khah!!! We Tanzanians tuna matatizo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hazina faida zaidi ya kuficha uovu wao,huo ndiyo ujira wa kampeni alizoifanyia CCM
 
Hazina faida zaidi ya kuficha maovu,huo ndiyo ujira wa kampeni alizoifanyia CCM?
 
duuuu! sio ccm ni miraji. japo siipendi ccm kufa ila hapo ni miraji sio ccm
 

kula like mkuu
 
Angalau hapa nimeambuli kujuwa kwamba Rais wetu anaitwa Jah Kaya na siyo Jakaya.
 

Kwani Tshirt 500 bei gani mkuu?!!
 
Maisha bora kwa mtanzania = ubwabwa + t-shirt + kofia
 
Du miraji toa na pesa bwana giv back 2 da society hela ulizopiga za kodi zetu ni nyingi.....

"Babuu na miraji kikwete kihama mnataka nikilete niwavunje miguu mjiunge na kundi la viwete,miraji kumbuka haki ulivyofukuzwa na baba yako ghetto kwangu nikakulaki tunashindia kiporo cha wali uliobaki dingi kushika ikulu unataka kunishtaki?"-KALAPINA
 
TID kazeeka ile mbaya kweli sembe noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…