Aise wadau mmenikumbusha mbali sana, nipo humu jamvini, sito sahau mwaka 2000 kwenye nusu fainari ya UMISETA pale uwanja wa Mwinyi kitu walichofanyiwa Tabora Boys, kimsingi ilisikitisha sana, jinsi tulivyomkimbiza 2PAC bila mafanikio, namkumbuka sana mzee rwabukoba, Omtimba, kwigeza na madenti kama Zengo M mpole Mr Ticha neto kaparata, Jonathan Manyasa,,,,,,,,,,,, Kifupi nimelimisi chama langu la KIMBEMBE kwenye mashindano ya Mgurunde we acha tu