Omwami Nshomile
Senior Member
- Jan 26, 2015
- 132
- 28
Shikamoo wakubwa, hamjambo vijana?
Me nilifiwa na kaka yangu mwanajeshi tangu mwaka juzi, alikua akifanya kazi JKT Tabora. Baaada ya msiba tulipewa namba ya afsa moja wa jeshi hili ndo atatuelekeza jinsi ya kupata mirathi pamoja na pesa ziliko Benki kwenye account ya marehemu. Sasa yule afsa amegoma kutusaidia kwani tukipiga simu hapokei. Naomba msaada na maelekezo jinsi ya kushughulikia jambo hili.
Natanguliza shukulani zangu.
Nenda mahakamani kafungue shauri la mirathi. Pata muhitasari wa kikao cha wanandugu kukuruhusu ufungue mirathi na uwe msimamizi. Then nenda mahakamani uthibitishwe (kama hakutakuwa na pingamizi). Ni process ndefu kidogo, Muombe hakimu/au mwanasheria akuelekeze what next baada ya kuteuliwa/kuthibitishwa na mahakama.
Tayari tulishaenda mahakani nikathibitishwa. Baada ya hapo sijui cha kufanya. Tangu mwaka jana. Asante mkuu
Tayari tulishaenda mahakani nikathibitishwa. Baada ya hapo sijui cha kufanya. Tangu mwaka jana. Asante mkuu
Shikamoo wakubwa, hamjambo vijana?
Me nilifiwa na kaka yangu mwanajeshi tangu mwaka juzi, alikua akifanya kazi JKT Tabora. Baaada ya msiba tulipewa namba ya afsa moja wa jeshi hili ndo atatuelekeza jinsi ya kupata mirathi pamoja na pesa ziliko Benki kwenye account ya marehemu. Sasa yule afsa amegoma kutusaidia kwani tukipiga simu hapokei. Naomba msaada na maelekezo jinsi ya kushughulikia jambo hili.
Natanguliza shukulani zangu.
Asante mkuuNaona ingekuwa bora kama ungefuata utaratibu rasmi kuliko kuanza kusumbuana na afisa mmoja mmoja. JKT sio taasisi ya wahuni, ina ofic zake na taratibu zake. Kwa hiyo b4 hujaenda mahakamani fanya maamuzi ya busara na sahihi kwenda HQ pale mikocheni ukapate utaratibu.