RAYHAN
Member
- May 12, 2013
- 21
- 9
wapendwa hivi ikiwa mtu ame zaliwa nje ya ndoa katika sheria za dini anatambulika kama sio mtoto halali,na mtoto huyohuyo akafanyiwa mpango wa vyeti vya kuzaliwa ikaonekana amezaliwa ndani ya ndoa ya familia fulani je? mtoto huyu anaweza kupewa mirathi ya wazazi wake? endapo wamefariki?