ukikamatika utafungwa waziwazi. acha kujichimbia kaburi we mwenyewe. kama huna haki huna haki tu. kufoji ni kosa liko kwenye penal code. hao unaotaka kupambana nao umiliki mali, wataenda kukuchongea, investigation ikifanyika, mali utakosa na ndani utaenda. kama wewe una uhakika kuwa hao ni ndugu zako, nakushauri kakae nao kitako uongee nao kibinadamu tu wakufikirie, ila si kwenda kana kwamba unazo haki za moja kwa moja, utaumbuka mbaya...tafuta penal code ya Tanzania cap. 16 afu soma vifungu vya 333, 335 na 337. utapata jibu.wapendwa hivi ikiwa mtu ame zaliwa nje ya ndoa katika sheria za dini anatambulika kama sio mtoto halali,na mtoto huyohuyo akafanyiwa mpango wa vyeti vya kuzaliwa ikaonekana amezaliwa ndani ya ndoa ya familia fulani je? mtoto huyu anaweza kupewa mirathi ya wazazi wake? endapo wamefariki?
Adui wa mtu ni mtu, mm kwahakika, nasema watoto wangu wote, wawe wandoa au nje ya ndoa, nawapa hakisawa hakuna mbwa wala kondoo wote ni wangu, naacha karatasi inayosema hata akija mwingine baada ya mm kufariki apewe haki sawa na wote, siko tayari kuona ubaguzi katika familia yangu. Kujibu swali lako, watoto wajulikane kabla au kwa DNA na wote wapewe haki sawa.wapendwa hivi ikiwa mtu ame zaliwa nje ya ndoa katika sheria za dini anatambulika kama sio mtoto halali,na mtoto huyohuyo akafanyiwa mpango wa vyeti vya kuzaliwa ikaonekana amezaliwa ndani ya ndoa ya familia fulani je? mtoto huyu anaweza kupewa mirathi ya wazazi wake? endapo wamefariki?
Labda ufanye kwa kuandika kwa makaratasi vinginevyo kunatofauti kati ya children born out of wedlock na in wedlock..principles zimewekwa na kesi,sheria, etc ili kudo away na promiscuity..hahahahahAdui wa mtu ni mtu, mm kwahakika, nasema watoto wangu wote, wawe wandoa au nje ya ndoa, nawapa hakisawa hakuna mbwa wala kondoo wote ni wangu, naacha karatasi inayosema hata akija mwingine baada ya mm kufariki apewe haki sawa na wote, siko tayari kuona ubaguzi katika familia yangu. Kujibu swali lako, watoto wajulikane kabla au kwa DNA na wote wapewe haki sawa.