Miriam Makeba has died

Miriam Makeba has died

Zanaki

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2006
Posts
545
Reaction score
76
South African singer Miriam Makeba has died aged 76 after being taken ill following a concert near the southern Italian town of Caserta, Ansa news agency reported on Monday.
Makeba was the legendary voice of the African continent, who became a symbol of the fight against apartheid in her home country.
She died overnight after taking part in a concert for Roberto Saviano, a writer threatened with death by the Mafia, the Italian agency said.
She sang for half an hour for the young author of Gomorrah at Castel Volturno near Naples along with other singers and artistes.
She was taken ill and was quickly taken to a clinic in Castel Volturno where she died of a heart attack, Ansa said.
 
RIP.. this is very sad indeed... nakumbuka "Siku ikifika, nitakula wali ee wali na Sombe!"! "kalo chumvi mwa, kalo pili pili mwa, inakolea kusingo!":
 
Sad news indeed!!!!
Mama Africa you will be missed!!!!!!!!!!!!!!!
RIP
 
..RIP Mama Miriam Makeba.

NB:

..kuwakumbusha tu, wakati wa kilele cha siasa za ubaguzi SA, Mama Miriam Makeba alilazimika kusafiri kwa kutumia passport ya Tanzania.

..pasi yake ya kwanza ya Tanzania ilitolewa kwa niaba ya serikali na ofisa wa ubalozi wa Tanzania UN, Chedieli Yohane Mgonja, mwanzoni mwa miaka ya 60.

..baadaye tena sherehe za harusi ya Miriam Makeba na Stokeley Carmichael[kwame toure] zilifanyika nyumbani kwa balozi Akili Danieli[r.i.p], aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania UN.
 
Majuzi tu kulikuwa na documentary yake moja kwenye Africa channel 87, I am gld kwamba niliangalia mwanzo mpaka mwisho, Mungu amuweke pema peponi.
 
RIP.. this is very sad indeed... nakumbuka "Siku ikifika, nitakula wali ee wali na Sombe!"! "kalo chumvi mwa, kalo pili pili mwa, inakolea kusingo!":

Sir,

That was Abeti Masikini from Congo.

May all beings attain enlightenment.
 
RIP Makeba you've played your part. Historia itakukumbuka
 
rip mariam makeba.

nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kali

pata pata; click song; u shaka; malcom x;
kilimanjaro; malaika (version ya makeba)
 
..RIP Mama Miriam Makeba.

..kuwakumbusha tu, wakati wa kilele cha siasa za ubaguzi SA, Mama Miriam Makeba alilazimika kusafiri kwa kutumia passport ya Tanzania.

..pasi yake ya kwanza ya Tanzania ilitolewa kwa niaba ya serikali na ofisa wa ubalozi wa Tanzania UN, Chedieli Yohane Mgonja, mwanzoni mwa miaka ya 60.

..baadaye tena sherehe za harusi ya Miriam Makeba na Stokeley Carmichael[kwame toure] zilifanyika nyumbani kwa balozi Akili Danieli[r.i.p], aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania UN.

Kifo hiki ni habari za kusikitisha. P.K.A

JokaKuu, ahsante kwa hicho kipande cha historia. Sasa Serikali hapo ili justify vipi kumpa passport asiye raia ? Maana kuna sheria za Uhamiaji. Unless kulikuwa na fast track process of naturalization kwa wakimbizi. Vinginevyo inaweza kuonekana kwamba huu mchezo wa kufyatua mi passport kanjanja ulianzishwa zamana na Serikali yenyewe. Kama una access na balozi Daniel hebu muulize mpangilio ulikuweje tafadhali, tupate historia. Maana hatuna wana historia wa kuchunguza hivyo vitu, na Wazee wanaojua hizi ishu wamekaa kimya tu. I mean, watu mpaka wanatafuta hati ya Muungano iliyopotea wakina Mzee Kawawa wako kimya tu, hawaandi memoirs, hawatoi interview, au hawaulizwi, manake hatuna press. You know it.
 
JokaKuu, ahsante kwa hicho kipande cha historia. Sasa Serikali hapo ili justify vipi kumpa passport asiye raia ? Maana kuna sheria za Uhamiaji. Unless kulikuwa na fast track process of naturalization kwa wakimbizi. Vinginevyo inaweza kuonekana kwamba huu mchezo wa kufyatua mi passport kanjanja ulianzishwa zamana na Serikali yenyewe. Kama una access na balozi Daniel hebu muulize mpangilio ulikuweje tafadhali, tupate historia.
Balozi Daniel ni marehemu sasa...

RIP Makeba
 
Where did the naughty little flea go?
Nobody know, nobody know!
Where did the naughty little flea go?

There was a naughty little flea
he sat upon the doggie's knee
he bit him here , he bit him there
he bit almost everywhere!

R.I.P Mama Afrika!
 
Kifo hiki ni habari za kusikitisha. P.K.A

JokaKuu, ahsante kwa hicho kipande cha historia. Sasa Serikali hapo ili justify vipi kumpa passport asiye raia ? Maana kuna sheria za Uhamiaji. Unless kulikuwa na fast track process of naturalization kwa wakimbizi. Vinginevyo inaweza kuonekana kwamba huu mchezo wa kufyatua mi passport kanjanja ulianzishwa zamana na Serikali yenyewe. Kama una access na balozi Daniel hebu muulize mpangilio ulikuweje tafadhali, tupate historia. Maana hatuna wana historia wa kuchunguza hivyo vitu, na Wazee wanaojua hizi ishu wamekaa kimya tu. I mean, watu mpaka wanatafuta hati ya Muungano iliyopotea wakina Mzee Kawawa wako kimya tu, hawaandi memoirs, hawatoi interview, au hawaulizwi, manake hatuna press. You know it.

Waandike memoirs na kutoa interview uwabane vizuri?

Hapo ndipo utajua kuna gross misconduct, watu hata memoirs wanaona soo, wasije waka-Martin Basheer-iwa bure.
 
Nyimbo zake zitakumbukwa kwa miaka mingi ijayo.....
Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi.
RIP Miriam Makeba.
 
Rest in Peace DIVA, You will be missed forever!
 
Kuhani said:
JokaKuu, ahsante kwa hicho kipande cha historia. Sasa Serikali hapo ili justify vipi kumpa passport asiye raia ? Maana kuna sheria za Uhamiaji. Unless kulikuwa na fast track process of naturalization kwa wakimbizi. Vinginevyo inaweza kuonekana kwamba huu mchezo wa kufyatua mi passport kanjanja ulianzishwa zamana na Serikali yenyewe. Kama una access na balozi Daniel hebu muulize mpangilio ulikuweje tafadhali, tupate historia. Maana hatuna wana historia wa kuchunguza hivyo vitu, na Wazee wanaojua hizi ishu wamekaa kimya tu. I mean, watu mpaka wanatafuta hati ya Muungano iliyopotea wakina Mzee Kawawa wako kimya tu, hawaandi memoirs, hawatoi interview, au hawaulizwi, manake hatuna press. You know it.

Kuhani,

..sifahamu taratibu zilizotumika kumpa Mama Makeba pasi ya Tanzania.

..mtu wa kuhojiwa kuhusu suala hili ni Chedieli Mgonja. huyu ameandika in his memoir, titled "Johari ya maisha yangu -- C.Y.Mgonja," kwamba yeye ndiye aliyesaini pasi ya Makeba.

..labda Mzee Job Lusinde naye atakuwa ana habari kuhusu Makeba kutumia paso yetu. kama sikosei kipindi hicho alikuwa waziri wa mambo ya ndani.

..mbona suala la pasi ni dogo sana?? umesahau kwamba Herbert Chitepo, the founding President of ZANU, was once Tanzanias Director of Public Prosecution?!! uwezekano mkubwa ni kwamba alikuwa akitumia passport ya Tanzania.

NB:

..Balozi Akili Danieli alifariki zamani miaka ya 1970. baada ya kifo chake ndiyo Salim Salim akapelekwa UN. habari zake zipo kwenye website ya ubalozi wetu UN.
 
Back
Top Bottom