Miriam Makeba hatunaye tena

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Yule mwanamama ngwiji wa music na kuigiza Miriam Makeba 76 'Mama Africa' wa Afrika kusini amefariki dunia nchini Italia aliko kwenda kutumbuiza aliigua gafla.
 
Last edited by a moderator:
Ni vyema tukiwa tunaweka na source jamani for credibility.
MAY THE SOUL OF THE FAITHFUL DEPARTED REST IN PEACE.AMEN
 
Amefanya aliyoyafanya na tutamkumbuka kwa hayo, apumzike mahali pema
 
Malaika, nakupenda malaika, nami nifanyeje kijana mwenzio, nashindwa na mali sina we, ningekuoa malaika.
RIP Mama Miriam
 


Habari kamili hapa: BBC NEWS | Africa | Singer Miriam Makeba dies aged 76

 
RIP Miram Makeba..umauti umekukuta ukiwa kazini.Sisi tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi.
 
Tunaweza unganisha thread hii na ile ya kwenye interment forum...ili tuweze kuwa sawa..katika hili RIP makeba...
 
Nimekumbuka ile Filamu ya Sarafina, alivyo kuwa anaongea kwa hisia kali. RIP Miriam Makeba.
 
Tulikupenda ila M/Mungu amekupenda zaidi, daima utakuwa mioyoni mwetu.
 
Mungu aiweke roho yake pema

Ni nyota ya Afrika itaendelea kung'aa tu
 


Miriam Makeba performed in a concert on Sunday night in southern Italy shortly before she died early Monday.

RIP Mama Makeba
 


Miriam Makeba performed in a concert on Sunday night in southern Italy shortly before she died early Monday.

RIP Mama Makeba

She will always be remembered for her fight against apartheid!
Its a great loss!
RIP Mama Africa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…