Miriam Makeba - Mama Africa

Miriam Makeba - Mama Africa

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Hii ni sehemu tu ya historia ya Miriam Makeba (Mama Africa) yapo mengi ya kujifunza kutokana na maisha yake ndani na nje ya usanii wake .

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=FxGtYr-b1SU[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=BHgKcPP6yK0&feature=fvw[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=xUcEu1exocA[/ame][ame="http://www.youtube.com/watch?v=7JTZBUmtu-Y&feature=channel"][/ame]
 

Attachments

its lovely,inspiring,I like it but wanaume 5?tatizo ni hao wanaue au yeye?
 
its lovely,inspiring,I like it but wanaume 5?tatizo ni hao wanaue au yeye?

Hii ndo sehemu ya pili ya historia yake, kama ilivyo kwa mastaa wengi wa kike, kuchumiwa/kuolewa na kuacha katika dakika ni sehemu ya maisha. Ni asilimia kubwa wanaishi hivyo, kukmbuka hata Brenda Fassie (R.I.P) nae aliishia staili hii !..na shida huwa ni aina ya kazi na maeneo wanaopitia na wanaokutana nao. Hilo lipo pia kwa wanaume mastaa kesi zipo nyingi mno duniani za mastaa kuwa na "wenza" wengi mno katika maisha yao.
 
Back
Top Bottom