Miriam Odemba aibuka Mshindi wa Pili Miss Earth

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya urembo (Miss Earth 2008), Miriam Odemba ameibuka mshindi wa pili katika fainali za mashindano hayo zilizofanyikia jioni hii katika ukumbi wa Clark Expo Ampitheater mjini Pampanga.

Mshindi wa kwanza ni Karla Paula Henry kutoka nchini Philippines huku nafasi ya tatu ikienda kwa Miss Mexico, Abigail Elizalde. Mshindi wa nne ni Miss Brazil, Tatiene Alvez. Jumla ya washiriki 84 walishiriki shindano hilo.

BC inatoa hongera nyingi kwa Miriam Odemba, kampuni ya Compass Communications chini ya Maria Sarungi na Watanzania wote kwa ujumla.

Well done Miriam!

Odemba.jpg
 
She made it...hongera you look tanzania...kabisa.
 
Hakika Miriam umeweza kuitangaza Tanzania kwenye ramani ya ulimwengu. Congratulations and God Bless You!!
 
Miriam hongera sana. Pamoja na vikwazo vingi hukukata tamaa. Hakuna mafanikio bila kujituma.
 
Miriam ni mrembo haswa.... still bado ni mrembo kwelikweli. ni kama pale aliposhiriki na kufanya vema kwenye face of Afrika, miaka ileee. Hongera Binti or sorry mama! Hivi how old is she now? nakumbuka aliposhiriki Miss Tanzania kwa mara ya kwanza alikuwa 17.
 
2852d1226304663-miriam-odemba-aibuka-mshindi-wa-pili-miss-earth-odemba.jpg

Kwa pozi nimemkubali, hata mpangilio wa vidole unadhihirisha. Photographer watakuwa wanampenda awapo kazini. Can we get some more photos of her on the stage?

Warembo wengine wapigwapo picha wanakuwa kwenye pose/posture zisizovutia.

attachment.php

Miriam alizaliwa mkoani Arusha mwaka 1983. Hivi sasa anafanyia shughuli zake huko barani Asia.

More photos.

.
 
Attachments

  • odemba.jpg
    odemba.jpg
    44.9 KB · Views: 1,315
Hivi nani ajua sababu ya ile contract yake kukatishwa baada ya kushinda faces of Africa 2001?, mengi yalisemwa kuna mwenye dataz jamani?
 
Hivi kwa nini alikimbia USA, baada hata ya kuanza kuwa na matangazo ya Gap? Halafu ghafla yote yakashushwa chini hivi kilimtokea nini hasa?
 
Miriam ni mrembo haswa.... still bado ni mrembo kwelikweli. ni kama pale aliposhiriki na kufanya vema kwenye face of Afrika, miaka ileee. Hongera Binti or sorry mama! Hivi how old is she now? nakumbuka aliposhiriki Miss Tanzania kwa mara ya kwanza alikuwa 17.

Shes just 21 unajua tena ma model wetu umri wao huwa haongezeki teh teh teh teh !!
 
Hivi nani ajua sababu ya ile contract yake kukatishwa baada ya kushinda faces of Africa 2001?, mengi yalisemwa kuna mwenye dataz jamani?

ilichangiwa na utoto na kukosa muongozo mzuri ....wakati huo ndio mentor wake MARIA MONGI alifariki.......

MARIA MONGI...ndiye aliyemgundua huyu binti ..maria R.I.P ...anasema siku hiyo alikuwa amekwenda temeke uswahilini kutembelea jamaa zake ...akawa yupo dukani anakunywa soda ...mara akakiona kibinti chembamba kirefu ..kizuri sana ...by then 16...KIMETUMWA dukani ...kiko peku hopefully siunajuwa za uswazi....akaaza kukihoji maswali....kilimfurahisha hadi ikabidi afuatane nacho hadi kwa mama yake [walipokuwa wamepanga chumba]...from there everthing was history....alimshawishi akaingia MISS temeke...NADHANI miriam alishinda ..then miss tanzania ...she was TOP FIVE....Then M NET...akashinda mkataba......

ule mkataba ulikatishwa kwani..miriam alikuwa hafuati masharti ya nutrician wa M NET ..ikapelekea kunenepa......baada ya kurudi alikutana na ups and down.....na kukimbizwa kimbizwa na mabazazi ya dar es salaam ...kabla hajaamua kuhamia china ambako alipata lucrative contaract.....nadhani siku hizi atakuwa amefanikiwa kuyabadili maisha yake kutoka ya uswahilini hadi ...maisha ya kujiweza vilivyo....

ni moja ya icon wa urembo nchi hii ...na mrembo wa asili......ingefurahisha kama MARIA MONGI angekuwa hai kuyaona mafanikio yake..lakini nadhani ...MIRIAM SARUNGI hakufanya kosa kumpeleka mashindanoni..na fahari imekuwa yetu sote watanzania..

mara zote huwa nasema kuwa miriam sarungi anaweza kuendesha mashindano ya urembo na mara nyingi hupata warembo classic..huwezi kufananisha warembo wake na warembo wa kina LUNDENGA ambao wengi walikuwa wahudumu wa saloon..au relevant...badala ya kufanya juhudi kuwagundua warembo wapya...nadhani kuna tatizo kwa kina lundenga kupata warembo wazuri wa kushiriki...ni wazazi wachache watakaomkubalia lundnga kumpa binti zao .....tofauti na maria sarungi..huwa anao uwezo wa kugundua mrembo na kwenda kwa wazazi wake kumuombea ruhusa na akakubalika....kama alivyokuwa akifanya maria mongi...

INGEKUWA NINA UWEZO LESENI YA KUANDAA MISS TANZANIA NINGEWANYANGANYA KINA LUNDENGA..........na kutoa ushindani mpya.....
 
Do you mean AMINA MONGI AND MARIA SARUNGI?,
 
Mimi hapo nakataa kabisa huyo demu hastahili kabisa kupata hilo taji alilopata bongo kuna mademu wazuri lakini sio huyo kabisaaaaaaaa
 
Shes just 21 unajua tena ma model wetu umri wao huwa haongezeki teh teh teh teh !!

Ukimsoma phillemo mikael. Anasema alipokutana na Amina Mongi alikuwa na miaka 16 na Amina Mongi alifariki miaka ya kama sikosei 1998-2000 sina kumbukumbu sawasawa lakini ni kati ya kipindi hicho. hivyo kwa sasa anatakiwa kuwa na miaka zaidi ya 25 kwenda juu na siyo 21 kama ulivyosema
 
Mimi hapo nakataa kabisa huyo demu hastahili kabisa kupata hilo taji alilopata bongo kuna mademu wazuri lakini sio huyo kabisaaaaaaaa

Take usitake Miriam Odemba is Cute!!!! Tena anapenda Uafrica na Utanzania wake. Pamoja na uzuri wote huo, she is descent!!! Tena ana juhudi sana.Kumbuka binti alikuwa hata elimu si kubwa lakini alifanya juhudi akasoma na sasa hivi hata media wanamsifia sana katika kujibu maswali. She is a brave young girl!!! Keep it up!!!! Pengine wewe Yasin si Mtanzania!!! Waweza kuwa ndugu wa yule Miss wa 2007 Mhindi ambaye alivyo mbaya kwa sura hata mtoto mdogo akikutana naye ataaangua kilio. At kwa kuwa waheshimiwa wa Vodacom waliochanga kununua gari lile ni wahindi then wakaamua kumpa ushindi mhindi.

Tanzania ina visura bwana!! Ukweli na habari ndo hiyo!!!!
 
Mkuu unauhakika lakini? Anyway Beauty is in the eyes of the beholder
 
Back
Top Bottom