Unastahili...She made it...hongera you look tanzania...kabisa.
Miriam anastahili kwani hutaki?Nini....................?
Miriam ni mrembo haswa.... still bado ni mrembo kwelikweli. ni kama pale aliposhiriki na kufanya vema kwenye face of Afrika, miaka ileee. Hongera Binti or sorry mama! Hivi how old is she now? nakumbuka aliposhiriki Miss Tanzania kwa mara ya kwanza alikuwa 17.
Hivi nani ajua sababu ya ile contract yake kukatishwa baada ya kushinda faces of Africa 2001?, mengi yalisemwa kuna mwenye dataz jamani?
ilichangiwa na utoto na kukosa muongozo mzuri ....wakati huo ndio mentor wake MARIA MONGI alifariki.......
MARIA MONGI...ndiye aliyemgundua huyu binti ..maria R.I.P ...anasema siku hiyo alikuwa amekwenda temeke uswahilini kutembelea jamaa zake ...akawa yupo dukani anakunywa soda ...mara akakiona kibinti chembamba kirefu ..kizuri sana ...by then 16...KIMETUMWA dukani ...kiko peku hopefully siunajuwa za uswazi....akaaza kukihoji maswali....kilimfurahisha hadi ikabidi afuatane nacho hadi kwa mama yake [walipokuwa wamepanga chumba]...from there everthing was history....alimshawishi akaingia MISS temeke...NADHANI miriam alishinda ..then miss tanzania ...she was TOP FIVE....Then M NET...akashinda mkataba......
ule mkataba ulikatishwa kwani..miriam alikuwa hafuati masharti ya nutrician wa M NET ..ikapelekea kunenepa......baada ya kurudi alikutana na ups and down.....na kukimbizwa kimbizwa na mabazazi ya dar es salaam ...kabla hajaamua kuhamia china ambako alipata lucrative contaract.....nadhani siku hizi atakuwa amefanikiwa kuyabadili maisha yake kutoka ya uswahilini hadi ...maisha ya kujiweza vilivyo....
ni moja ya icon wa urembo nchi hii ...na mrembo wa asili......ingefurahisha kama MARIA MONGI angekuwa hai kuyaona mafanikio yake..lakini nadhani ...MIRIAM SARUNGI hakufanya kosa kumpeleka mashindanoni..na fahari imekuwa yetu sote watanzania..
mara zote huwa nasema kuwa miriam sarungi anaweza kuendesha mashindano ya urembo na mara nyingi hupata warembo classic..huwezi kufananisha warembo wake na warembo wa kina LUNDENGA ambao wengi walikuwa wahudumu wa saloon..au relevant...badala ya kufanya juhudi kuwagundua warembo wapya...nadhani kuna tatizo kwa kina lundenga kupata warembo wazuri wa kushiriki...ni wazazi wachache watakaomkubalia lundnga kumpa binti zao .....tofauti na maria sarungi..huwa anao uwezo wa kugundua mrembo na kwenda kwa wazazi wake kumuombea ruhusa na akakubalika....kama alivyokuwa akifanya maria mongi...
INGEKUWA NINA UWEZO LESENI YA KUANDAA MISS TANZANIA NINGEWANYANGANYA KINA LUNDENGA..........na kutoa ushindani mpya.....
Shes just 21 unajua tena ma model wetu umri wao huwa haongezeki teh teh teh teh !!
Mimi hapo nakataa kabisa huyo demu hastahili kabisa kupata hilo taji alilopata bongo kuna mademu wazuri lakini sio huyo kabisaaaaaaaa
Take usitake Miriam Odemba is Cute!!!! Tena anapenda Uafrica na Utanzania wake. Pamoja na uzuri wote huo, she is descent!!! Tena ana juhudi sana.Kumbuka binti alikuwa hata elimu si kubwa lakini alifanya juhudi akasoma na sasa hivi hata media wanamsifia sana katika kujibu maswali. She is a brave young girl!!! Keep it up!!!! Pengine wewe Yasin si Mtanzania!!! Waweza kuwa ndugu wa yule Miss wa 2007 Mhindi ambaye alivyo mbaya kwa sura hata mtoto mdogo akikutana naye ataaangua kilio. At kwa kuwa waheshimiwa wa Vodacom waliochanga kununua gari lile ni wahindi then wakaamua kumpa ushindi mhindi.
Tanzania ina visura bwana!! Ukweli na habari ndo hiyo!!!!
Mbona mbaya hvyo du!