Miriam Odemba ajiachia na Watoto kwenye jukwaa la Samia Fashion Festival

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Hivi karibuni kumekuwa na mashindano kila mahali yakibeba jina la Rais Samia, ambapo matukio kama haya yanaangaliwa kama sehemu ya mikakati ya kuimarisha mahusiano na wananchi kuelekea uchaguzi.

Hapo jana, Oktoba 27, Mwanamitindo maarufu Miriam Odemba alishiriki kwenye Samia Fashion Festival iliyofanyika Diamond Jubilee, ambapo alionekana akicheza na kuimba pamoja na watoto.
 
kikubwa wawe wanamaanisha.Siyo akistaafu waanze kumrushia mawe tena,maana tunaona uncle Magu anavyovunjiwa heshima bila sababu za msingi
 
Sababu za msingi zilikuwepo, wewe ndiyo hukuziona.
 
Back
Top Bottom