Leo nimepata muda wa kuperuzi nikaona mahojiano ya huyu mwanamitindo na timu ya mkasi huko youtube,huyu mwanamke amejisifia hadi kama wahusika wameshindwa kuendana na kasi yake,kipindi kimegeuka tamthilia,miriam uswahili umekujaa,umeharibu kipindi cha watu,ujuaji mwingi mno,daah!!
Hatujasema hafanyi vizuri,tunazungumzia jinsi alivyokuwa anaongea,alikitawala sana kipindi kiasi ikawa kama hakuna muongozaji,maana hakuwa akiwapa nafasi akina salama wamuhoji,yule ni celeblity wengi wanataka kujifunza kutoka kwake,kwahiyo akiwa sehemu kama ile anatakiwa afuate protokali ili watazamaji wajifunze,asa wewe kuwa mkweli cha maana ulichojifunza pale ni nini?Kipindi kilikuwa kizuri sana, Miriam anajitambua, anajiamini, anajithamini yeye na anathamini utanzania wake. Anaweza kuwa motivational speaker mzuri sana watanzania tuache mentality mbovu mtu anapofanya vizuri apewe sifa zake.
Hatujasema hafanyi vizuri,tunazungumzia jinsi alivyokuwa anaongea,alikitawala sana kipindi kiasi ikawa kama hakuna muongozaji,maana hakuwa akiwapa nafasi akina salama wamuhoji,yule ni celeblity wengi wanataka kujifunza kutoka kwake,kwahiyo akiwa sehemu kama ile anatakiwa afuate protokali ili watazamaji wajifunze,asa wewe kuwa mkweli cha maana ulichojifunza pale ni nini?
Ni sifa tu ndio zilimjaa...
Nikupe pole wewe hapo ambaye unapenda usikilize porojo za kina Nisher na wajinga wenzie...rudia kuangalia upya utakutana na mafunzo hayaPole sana TAECOLTD
Dada ana confidence 100%. Sijaona alikosea wapi, alichoongea ndicho anachokijua. Likewise yuko exposed sana maisha ya nje ya nchi, ana uelewa mkubwa!Kuna alichoongea ambacho ni uongo????
Kama ni kweli hakuna majigambo hapo
Una mipasho,siwezi kufanya critisism na wewe,coz hatuelewani,unachozungumzia na ninachozungumzia ni vitu viwili tofauti,nahisi umekurupuka na kuvamia jukwaa..hata sielewi ni nini kimekupanikisha..Nikupe pole wewe hapo ambaye unapenda usikilize porojo za kina Nisher na wajinga wenzie...rudia kuangalia upya utakutana na mafunzo haya
1) Kujiamini na hutakiwi kutetereka kwasababu ya umaarufu wa mtu
2) Kujituma kwa bidii sana
3) Kuwa na malengo makubwa ambayo yatafanya jina lako lisifutike, ni nani ambaye leo ukitaja jina Miriam Odemba halijui?
4) Elimu na utashi as lolote unalolifanya hakikisha una elimu na uelewa wa kutosha kuhusu hilo swala
Kama hayo hukuyaona badala yake umeishia kuona anajigamba tu basi pole saaaana tena sana
hao nshomile waende wakachukue kozi ya kujisifu kutoka miriam odema. lakini anaonekana ni mchangamfu sana, kipindi kililkuwa kizuri.Odemba ni zaidi ya nshomile aise nakusalute
Leo nimepata muda wa kuperuzi nikaona mahojiano ya huyu mwanamitindo na timu ya mkasi huko youtube,huyu mwanamke amejisifia hadi kama wahusika wameshindwa kuendana na kasi yake,kipindi kimegeuka tamthilia,miriam uswahili umekujaa,umeharibu kipindi cha watu,ujuaji mwingi mno,daah!!