Miriam Odemba na majigambo kipindi cha Mkasi

Miriam jamani sio nshomile miriam ni mjaluo wa musoma
 
hao nshomile waende wakachukue kozi ya kujisifu kutoka miriam odema. lakini anaonekana ni mchangamfu sana, kipindi kililkuwa kizuri.
Interview ilikuwa nzuri, na wanaopenda au waliopo kwenye modeling &beauty industry watakuwa wamejifunza mengi toka kwa interview miriam &mkasi, hasa kwenye eneo la confidence, determination, exposure and understanding.anaonekana
She's matured& knows what she wants and at what time! ?
 
Unaangalia kipindi cha mkasi ujifunze kwa macelebrity? Achia sofa nenda shule, hakuna cha kujifunza kwa kina Odemba, labda kama unatafuta babu wa kizungu
Elimu ya kwenye life ni long-term, ya darasani ni ta muda tu.....anza kutumia every opportunity to learn bra/sis.
Msomi mzuri ni yule nayejua mambo mengi nje ya eneo lake la utaalam..
 
Hakika. Ilifikia wakati akawa anajibu bila kuelewa swali, hata alipokatishwa ili aeleweshwe swali alikuwa hasikilizi. Too much of anything is harmful.
 
too much is harmful
anaongea mpaka anaboa, ingawa FACT ila alitakiwa ajibu kwa ufupi sio stori ndeeefu kama tamthiliya ya kifilipino
Tengua kauli kuhusu Wafilipino. Tamthilia ndefu lakini zimetulia, upo?
 
Hakika. Ilifikia wakati akawa anajibu bila kuelewa swali, hata alipokatishwa ili aeleweshwe swali alikuwa hasikilizi. Too much of anything is harmful.
Next time Salama asiwe anaalika malimbukeni, awe anaangalia watu wanaojielewa na wenye ufahamu wa kina ili audience tufaidike na show. Nazikubali sana show alizofanya na Masoud kipanya na ile ya Ruge wa clouds
 
Sijasikia alichoongea lakini daima nampongeza kwa ujasiri na kujiamini alishinda u miss Tanzania akitokea darasa la saba hakuwa na uzoefu wowote wala elimu ya kutosha na umri pia ulikuwa bado...magazeti ya udaku yakamdaka juu kwa ju. ..yakaandika kila upuuzi kumvunja moyo habari nyingine Zikiwa za kusingiziwa....yani badala ya kumjenga wao wakawa wanambomoa na kumkomoa halafu akayumba lakini akasimama imara kisha akapasua, mwacheni aongee nyodo visiki alivyopitia ni vingi
 
"Baba yangu mkubwa ni profesa,baba angu mkubwa alifanya kazi NASACO"yaani irrelevant kabisa,Alinishangaza kwa kweli
 
Mkuu mshana jr,naomba tafuta muda ufuatilie hiko kipindi then ndio uchangie...ulichokiandika hapa ni kama haututendei haki wadau.
 
Oh mshana please please laiti ungemsikia ungejua tunachojadili. Hatumchukii, lakini ujue hili ni jukwaa la kujifunza, (ukiachana na hao wa udaku). Ishu hapa ni mihemko aliyokuwa nayo iliharibu kwa kweli.
 
Maoni yangu yamekinzana na post hii kama kakosea hapa naomba nisiwe mtetezi wake kwakuwa kwa hakika sijui alichoongea
 
Duhhhh ngoja niingie you tube. 🙂
Nimepitwa.
 
Maoni yangu yamekinzana na post hii kama kakosea hapa naomba nisiwe mtetezi wake kwakuwa kwa hakika sijui alichoongea
of course alijifu lakini si kwa ubaya,alisema yeye analinda heshima ya jina la odemba, jina la odemba ni kubwa sio dogo, ndio akaanza kutolea mifano ya baadhi ya ndugu zake na status zao, hakuwa mbaya inakukumbusha mtu kujitambua na kujua hadhi yako
 
miriam odemba haja wahi kua miss tanzania. Get ur facts straight
 
... Ana exposure ambayo haijamsaidia sana. Nimemsikilizaaaa-- hasa anapotamka Paris (utadhani ni mbinguni vile !!), nikasema bado ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…