Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 594
- 291
Habari wakuu,!
Naomba kufafanuliwa hapa kwamba, hivi mirija ya uzazi ya mwanaume ikiziba haiwezi kuzibuliwa,? Na nini kinachosababisha kuziba kwa mirija ya mwanaume?. Maana sister yangu ana mme ambaye hawezi kusababisha mimba ,ameenda mpk India akaambiwa mirija imeziba mchanga lakini jogoo anawika na anauwezo wa ku ejaculate sasa kama ana uwezo wa ku ejaculate, kwanini asiweze kutungisha mimba,? Na kama mirija imeziba ejaculation inafanyika vipi?
Nawasilisha wakubwa.