Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 594
- 291
ejaculation uwa ni semen kutoka kwenye prostate n cowpers glands usaidia sperm kuogelea ila kama mirija kutoka kwenye testis imeziba atatoa kamas tu kutoka kwa gland bila sperm ver possible ata mm kwa biology yangu ya form four tu najua its possible
japo umeelezea juu juu sana lakini huo ndio ukweli. . uko sahihi mkuu.
shahawa sio manii pekeyake ni pamoja na mucus na vitu vingine.