Aris Saolanica
Senior Member
- Apr 27, 2017
- 123
- 84
Usijali boss wangu naku pm soonSema bei
Wapi huko wanapo uza mlunda 1000 ndugu na Mimi nije ninunue hata 100 nianze biashara hii... Mana huku kwetu kwenye hardware wanauza mmoja 2500... Sasa mm nikinunuwa kwa bei hiyo nikiweka na usafiri faida ya 1000 sito kosa kwa kila mrunda
Asante sana kwa ushauri wako mzuriTafuta sehemu mtaani kwako pia ukodishe hiyo mirunda