Kwelii kahawa inaweza kuwa na madhara kiafya!!?
hata kama ni kweli kwa mtazamo wa haraka haraka siamini kama madhara yake yanaweza kukaribiana hata kidogo na madhara yatokanayo na utumiaji wa mirungi.
Wanasema kahawa inakua active sana kwanzia saa moja asubuhi mpk saa tatu asubuhi baada ya hapo ukinywa inaleta matatizo japo huwez kuhisi mapema na mirungi hata uile saa ngapi yenyewe ina madhara tu ni kama vile ulize chips mayai na bia ipi ina madhara zaidi kiafya !