Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Mishipa ya damu kwenye mguu wangu wa kulia imevimba sana ivo inanipa changamoto ya muonekano, Nimegoogle nkajua ni shida ya varicose veins. Ili tatizo Halinipi maumivu wala complications ila inafanya mguu Wangu uonekane mbaya
Wapi naweza pata tiba ya hili tatizo kwa wenye uzoefu, Na bei ni sh ngapi
Wapi naweza pata tiba ya hili tatizo kwa wenye uzoefu, Na bei ni sh ngapi