Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

Singapore inaingia vipi kwenye muungano wa tanganyika na zanzibar
 
Nadhani haina shida hii kwani ni nchi mbili huru zilizoungana. Changamoto inakuja pale ambapo upande mmoja wa muungano (Tanganyika) unabebeshwa mzigo wa kulipa 'misaada' ambayo huitwa mikopo yenye masharti nafuu na mikopo na huku upande wa pili (Zanzibar) hauwajibiki/ haulipi. Hakuna fairness hapo!!! Tumekopa, tulipe sote, si vinginevyo.
 
Huu muungano umekuwa ni km laana kwa watanganyika kwa jinsi wanavyonyonywa na kisiwa kisiwa chenye ukubwa kama kata ya magomeni
Watanganyika ni kondoo sana kwa kuendelea kukubali huu uongo unaoitwa muungano
Hili jeshi lenu la uvamizi,mlilolimwaga kila mtaa huku Zanzibar mtaliondosha Lini?
 
Kwani nani aliwaambia muivamie Zanzibar Na Nani aliwaambia muizuie isifunguwe Bank kuu yake wakati ilpovunjika EAC . Na zile pesa Za Zanzibar Za mgao Wake kwa nini mkazichukuwa nynyi wavamizi ? Wacha karma iwatafune
 
Kwenye kulipa mikopo pia tulipe kwa uwiano sawa na Nadhani

Hakuna chochote kwenye huo mradi wa sukari!! Ubabaishaji mwingi. Hivi kile kiwanda chenu cha mahonda kimefikia wapi? Kimeshakata roho?
 
Kama mnataka pasu KWa pasu ya pesa ,basi na Mambo mengine twende pasu KWa pasu

Mfano,ardhi na fulsa zingine twende pasu KWa pasu, vinginevyo KILA mtu akae kivyake, TANGANYIKA imekua koloni la Zanzimbar

Koloni kwani Zanzibar Ina jeshi lake la kivamizi huko Tanganyika??
 
Kwani nani aliwaambia muivamie Zanzibar Na Nani aliwaambia muizuie isifunguwe Bank kuu yake wakati ilpovunjika EAC . Na zile pesa Za Zanzibar Za mgao Wake kwa nini mkazichukuwa nynyi wavamizi ? Wacha karma iwatafune
Pesa za mgao wa EAC Board kila nchi ilipewa zake, bila shaka hayati Karume (mzee...mungu amrehemu) anajua za Zanzibar zilipo.
 
na ulipaji uwe pasu kwa pasu, na pia wa bara turuhusiwe kumiliki ardhi zanzibar
 
Kwani nani aliwaambia muivamie Zanzibar Na Nani aliwaambia muizuie isifunguwe Bank kuu yake wakati ilpovunjika EAC . Na zile pesa Za Zanzibar Za mgao Wake kwa nini mkazichukuwa nynyi wavamizi ? Wacha karma iwatafune
Pathetic....ndio maana hamlipi? Sasa naelewa kwanini mnangangania sana tukaombe misaada hata ambayo si lazima!....mmmh!
 
Ardhi tayari wanayo huku bara, walipewa na mwl Nyerere kule Bagamoyo (ZEBA) ingawaje matapeli walishafanya yao na wananchi wakavamia lile ENEO mpaka sasa hamna kitu
 
CCM kampa tapeli mwenzake CCM
 
sky soldier anawachokoza watu humu jukwaani.
 
Hivi ukisema kugawana pasu kwa pasu una maanisha Nini? Mimi nadhani unachukua hizo 1.15 T unagawa kwa idadi ya wa tz milioni 60. Jawabu utakalopata unazidisha kwa idadi ya wazanzibari jibu utakalopata hiyo ndo stahiki ya Zanzibar. Kisha kiasi hicho Pamoja na riba yake wanalipa wenyewe!
 
Kumbe wazenji wachache hivi?! Nashauri wamasai wa Ngorongoro wahamishwe huko ili kuboost population visiwani.
Mbona wamejaa ZNZ ng'ombe wamewaishia labda wamekuja kuchunga samaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…