Misaada inayotolewa na Ulaya inapaswa kugawanywa 'pasu kwa pasu' baina ya nchi mbili zilizo katika Muungano

Muungano una nchi moja tu, ambayo ni Zanzibar.
Watanganyika hawaitaki nchi yao!
Kinachofanyika sasa ni nchi isiyotambulika kuikalia kamabavu na kuidumaza Zanzibar!!
 
Hakuna kitu kinaitwa msaada siku hizi, huo ni mkopo. Tushirikiane kuulipa.
 
Hoja ya kuangalia idadi ya watu ni muflis.

Hizi ni nchi 2 basi zigawane pasu kwa pasu
 
Hoja ya kuangalia idadi ya watu ni muflis.

Hizi ni nchi 2 basi zigawane pasu kwa pasu
Hoja yako ndio mufisi kwani huwezi linganisha mahitaji ya watu milioni 59 na milioni moja.

Kwa akili za kawaida tu hakuna ulinganifu.

Watanganyika wanafanyiwa Dhuluma.

Unless iwe mzanzibari mmoja ni sawa na wabara 59 jambo ambalo ni dalili za wazi kabisa za kibaguzi.
 
Ujinga gani huu wa tanganyika yenye watu milioni 60 kugawana chochote sawa na znz yenye watu mil 1.4.
Kwanza hii mentality ya kijinga kusujudu mikopo inayopewa jina la misaada anarudisha samia. Halafu tutapewa na ubeberu ugonjwa wa kujinga kugombea misaada halafu tutaleta mdudu mbaya kwenye muungano wetu.
Watu wa znz hawafiki hata asikimia 2 ya raia wa tanzania kwa hivyo tushirikiane tuwache kugombanishwa kijinga.
La msingi bara iliyo kubwa kuichukulia znz iliyo sawa au ndogo na mikoa yake na kuweka fungu la maendeleo pale ikilazimu. Hata hivyo znz ina potential kiuchumi kubwa.
 
Tatizo hamkuvamia mkoa wala wilaya ,mlivamia nchi yenye Bunge, Mfalme , Waziri Mkuu Na serikali yake
 
Wengine wakiwauzia mchicha Na unga wa sembe ?
Sasa watu waliofikia hatua ya kuuza sembe tunaendeleaje kuwaamini kukaa na Wanyama wetu Ngorongoro? Wahame tu, hakuna namna.
 
Kwani mlipovamia Mlisahau Kuwa mnavamia Nchi. Baba yenu Laanatullahi Nyerere kawalisha matango pori, huku akiwaingiza mkenge , matokeo yake baada kudhulumu roho Za watu kwa miaka Na kumwaga damu, Na kuiba Leo karma imeanza kuwatafuna
 
Irrelevant.

Get to the point.
 
Kokote wakalime mchicha kwa wingi tupate kusafirisha , Airport ipo inaoza
Mchicha Arusha bado inatesheleza soko la ndani na nje. Cha msingi huu mmea uingie kwenye kundi la mimea inayosafirishwa kupitia SPS requirements.
 
Mchicha Arusha bado inatesheleza soko la ndani na nje. Cha msingi huu mmea uingie kwenye kundi la mimea inayosafirishwa kupitia SPS requirements.
Ziada ndiyo inahitajika pia, Ikiwa wakulima unataka wapelekwe ZNZ , huko Hakuna eneo la kulima. Waende wakawe Mawe Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…