Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Halafu munasema muachiwe musiingiliwe mambo yenu ya ndani yaliyomo ktk nchi wakati wakati uwezo wa kujenga matundu ya choo hamuna munapewa msaada na mabeberuNaunga mkono hoja, misaada mingine ni aibu, tunadhalilishwa.
P
Umenena lkn kilichorudisha nyuma watu kuchangia ni ukosefu Wa uaminifu pale wajanja wachache wanapotafuna michango ya maendeleo,pia hata awamu hii imeshusha pia hali ya watu kuchangia maendeleo ya elimu watu wamepigwa marufuku kuchangia miradi ya elimu,ndo maana unakuta hata ukuta,mlango,au taa ikiungua vyakaa miaka tofauti na zamaniYou can't be serious na misaada ya matundu ya vyoo huku watu wakiweka mabango makubwa ili dunia ijue tunavyosaidiwa kujengewa vyoo.
Hili la matundu ya vyoo linawezekana tu hata kwa nguvu za wananchi kupitia uongozi thabiti.
Kipindi cha mwalimu wananchi walikuwa wakijenga hata viwanja vya mpira kwa kila mtu kushiriki kubeba tofali, sembuse kijiji kusimamiwa kijenge hayo matundu?
Kweli kweli kwa kutumia akili zako unadhani kuna kiongozi anayeweza kumaliza matizo ya nchi yetu kwa miaka minne? Au unatania ndugu!Sasa Magufuli si mnasema ni bora kuliko Kikwete, sasa kwa nini na yeye anakubali unyonge huu?
Tulitegemea kwenye awamu yake mambo haya ya kutudhalilisha utu wetu yasiwepo!
Tuseme basi tatizo siyo wana siasa bali ni wananchi wa maeneo husika!!..huko kwa Mbowe wanajenga mpaka shule kwa kujitolea watashindwa kuchimba vyoo?
Tuseme basi tatizo siyo wana siasa bali ni wananchi wa maeneo husika!!
Naunga mkono hoja, misaada mingine ni aibu, tunadhalilishwa.
P
Naunga mkono hoja, misaada mingine ni aibu, tunadhalilishwa.
P
Yes pesa yetu tunanunua ndege while watoto wetu wanajisaidia vichakani,I think hiyo pia ni strategy ya kutupeleka uchumi wa kati sasa kwanini mabeberu wasijitangaze pale wanapofanikiwa kutukwamisha kwa kuwajengea vyoo watoto wetu ili wasiendelee kujisaidia machakaniTunafadhiliwa kujengewa matundu ya choo kisha, watu wanaandika bango zima ili dunia ione.
Halafu tunatoka hapo tunatangazia dunia kuwa sisi ni matajiri, tunatangaza namna tunavyotakiwa tuwe na mawazo ya kujitegemea, kisha tunatoka hapo tunafadhiliwa matundu ya choo na tunatangazwa dunia nzima.
Kama kweli tunataka kujitegemea, tuanze na vitu vidogo vidogo kama hivi
Hii ni aibu kubwa kwa nchi yenye miaka 70 ya kujitawala kujengewa mashimo ya choo.
Hivi sisi tumerogwa?
View attachment 1275122
Tunafadhiliwa kujengewa matundu ya choo kisha, watu wanaandika bango zima ili dunia ione.
Halafu tunatoka hapo tunatangazia dunia kuwa sisi ni matajiri, tunatangaza namna tunavyotakiwa tuwe na mawazo ya kujitegemea, kisha tunatoka hapo tunafadhiliwa matundu ya choo na tunatangazwa dunia nzima.
Kama kweli tunataka kujitegemea, tuanze na vitu vidogo vidogo kama hivi
Hii ni aibu kubwa kwa nchi yenye miaka 70 ya kujitawala kujengewa mashimo ya choo.
Hivi sisi tumerogwa?
View attachment 1275122
Tuseme basi tatizo siyo wana siasa bali ni wananchi wa maeneo husika!!
Unajua kazi ya mbungeUNDP wanastahili shukrani kama unabisha muulize Mh. Heche jimboni kwake ni kaya ngapi zina vyoo kama sio kujisaidia msituni!
Kwanini wezi wanaitwa wajanja?Umenena lkn kilichorudisha nyuma watu kuchangia ni ukosefu Wa uaminifu pale wajanja wachache wanapotafuna michango ya maendeleo,pia hata awamu hii imeshusha pia hali ya watu kuchangia maendeleo ya elimu watu wamepigwa marufuku kuchangia miradi ya elimu,ndo maana unakuta hata ukuta,mlango,au taa ikiungua vyakaa miaka tofauti na zamani
Mnajidhalilisha wenyewe, mabilioni ya kununua wapinzani na kufamyia kampeni uchwara mnayo, wacha wawatangaze wanajua ni ujinga wa serikali na wanaoongoza.Naunga mkono hoja, misaada mingine ni aibu, tunadhalilishwa.
P
Lakini mkuu,wametujengea vyoo vizuri mnoo kwakweliNaunga mkono hoja, misaada mingine ni aibu, tunadhalilishwa.
P
Halafu kodi tunazolipa ziende wapi? Kwanini serikali I we ombaomba kwa wananchi wake? Kwanini V8 kila sehemu na vyoo tujitoleeTatizo kubwa ni sie kama jamii tungekuwa na tabia ya harambee ya maendeleo tukashikamana hatuhitaji misaada