daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Nimejaribu kwa muda mrefu lakini imebaki kwenye 0%
Mwanzo inataka nitumie WiFi
Mwanzo inataka nitumie WiFi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina 6gb internet ni H+ tigoUwe na bando la kutosha, na uwe na strong network.
Ngoja nijaribu1. Nenda Play store na download app inaitwa MIUI Updater
2. Baada ya kuweka MIUI Updater itakupa chagua la kudownload MIUI 13, chagua hiyo na usubilie mpaka imalizike.
3. Ukimaliza nenda Setting-> About halafu bonyeza logo ya MiUI version
4. Itakuja logo ya MiUI inayoonyesha version yake, bonyeza hiyo logo mara nyingi mpaka itokee ujumbe "additional update features are on"
5. Kisha upande wa juu Julia kwenye vidoti vitatu chagua "choose update package"
6. Utachagua faili ambalo MiUI Updater ilidownload ikishamiliza utapata android 12 na MiUI 13
Hawa jamaa Xiaomi kwenye software ni wazembe Sana bila kufanya hivyo utakesha hata network iwe na nguvu
ili usihangaike Sana mkuu, toa hiyo laini yenye hizo GB 6 na iweke kwenye simu ingine kisha washa WiFi, hutamaliza ata dakika 30 utakuwa umemaliza kudownloadNina 6gb internet ni H+ tigo
Shukran mkuu nimefanikiwa1. Nenda Play store na download app inaitwa MIUI Updater
2. Baada ya kuweka MIUI Updater itakupa chagua la kudownload MIUI 13, chagua hiyo na usubilie mpaka imalizike.
3. Ukimaliza nenda Setting-> About halafu bonyeza logo ya MiUI version
4. Itakuja logo ya MiUI inayoonyesha version yake, bonyeza hiyo logo mara nyingi mpaka itokee ujumbe "additional update features are on"
5. Kisha upande wa juu Julia kwenye vidoti vitatu chagua "choose update package"
6. Utachagua faili ambalo MiUI Updater ilidownload ikishamiliza utapata android 12 na MiUI 13
Hawa jamaa Xiaomi kwenye software ni wazembe Sana bila kufanya hivyo utakesha hata network iwe na nguvu
Ilikufanyaje mkuu au chuki binafsiMasimu ya Kichina haya hovyo sanaa, mie mwenyewe nilikuwa na hiyo Redmi lkn ilichonifanya sina hamu.
Masimu ya Kichina haya hovyo sanaa, mie mwenyewe nilikuwa na hiyo Redmi lkn ilichonifanya sina hamu.
Sina Chuki yoyote ileIlikufanyaje mkuu au chuki binafsi
Kuna mabadiliko gani umeyaonaMkuu mimi toka mwezi wa 3 nishapata update ya android 12 kwenye Redmi Note 10 yangu.
View attachment 2234522
Mabadiliko niliyoyapata ni huko chrome ninapotaka kudownload file la muhimu. Linakimbilia kwenye gmail na kwenda google drive.Kuna mabadiliko gani umeyaona