Misaada ndugu zangu

hivi inawezekanaje mtu kusahau username yake alafu ni msomi ambaye anatarajiwa kuja kujenga taifa,ni taifa gani linajengwa??

ushauri ;jaribu kuwasiliana na uongozi wa chuo
 
Misaada ndugu zangu;
Mdogo wangu amesahau username na password aliyotumia katika ku apply chuo naomba mtusaidie ushauri ndugu zangu(chuo ni MUST)
Actualy username ni form 4 index number pasword anaweza kwenda kwenye option ya forgot pasword afuate maelekezo, lamsingi awe na email aloitumia kufungua acount ya OAS
 
Msaada ndugu zangu;
Mdogo wangu amesahau username na password aliyotumia katika ku apply chuo naomba mtusaidie ushauri ndugu zangu(chuo ni MUST)
Yeah nimefanikiwa ndugu zangu ahsanten sana kwa ushauri wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…