Misaada!

Misaada!

Monstgala

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2009
Posts
1,079
Reaction score
1,036
images


Wakati wengine wakijichotea mabilioni na kuhifadhi account za nchi za nje... Ubalozi wa China nao unatoa msaada wa baisikeli 20!
 
baisikeli 20 wanatukana wazi na kudharau as wanaweza fanya zaidi
 
wanabeba mchanga kutoka kwenye migodi yetu na kwenye viwanda vyao wameajiri watu si chini ya laki moja let say
 
bosi mzima na kipara chake anafurahia misaada ya baiskeli
 
sio kwamba tuikatae aina hii ya misaada, hapana, coz Tz kuna watu wana hali mbaya kuliko maelezo , ila sio waziri aende kuipokea, ni aibu...
 
sio kwamba tuikatae aina hii ya misaada, hapana, coz Tz kuna watu wana hali mbaya kuliko maelezo , ila sio waziri aende kuipokea, ni aibu...

Lini watu watajitegemea? kila kitu kupewa bure tu mpaka baiskeli zitoke China? Ni aibu kwa serikali.
 
Mpaka karne hii nchi kuwa tegemezi kwa kila kitu wakati matumizi ya serikali na posho wanazopeana ni mara ngapi ya thamani ya baiskeli 20? Hii misaada mingine nayo inatulemaza.
 
Hivi hatukuwahi kuwa na kiwanda kinachotengeneza baiskeli Tanzania? Kiliishia wapi?
 
sio kwamba tuikatae aina hii ya misaada, hapana, coz tz kuna watu wana hali mbaya kuliko maelezo , ila sio waziri aende kuipokea, ni aibu...
sasa akapokee nani?? Unataka aonekane luningani?
 
Msaada wa bike sio chachu ya maendeleo.Wanagawiwa makatibu tawi wa CCM mchezo umeisha.
 
Back
Top Bottom