sio kwamba tuikatae aina hii ya misaada, hapana, coz Tz kuna watu wana hali mbaya kuliko maelezo , ila sio waziri aende kuipokea, ni aibu...
sasa akapokee nani?? Unataka aonekane luningani?sio kwamba tuikatae aina hii ya misaada, hapana, coz tz kuna watu wana hali mbaya kuliko maelezo , ila sio waziri aende kuipokea, ni aibu...