Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

Kufikiria kwa makalio = kufikria ovyo ovyo bila umakini.
 
nimejifunza samsing hapa,nashukuru sana. Nalog off
 
keybord-kichalazo
Print-chapisha
invoice-ankra
photocopy-nakala

tupende kuyatumia haya maneno kwani yapo na hatuyatumii

kwa leo ni haya na nitaendelea kuelimisha watanzania juu ya lugha yetu kiswahili
 
nawapenda sana wachina kila kitu hapa ni kichina hata ukienda uwanja wao wa ndege wa kimataifa ni kichina na nilifurahi sana baada ya kukutana na polisi wa kichina akiniongelesha kiswahili,wao wanadhamini lugha yao na hata uchumi wao unakuwa si kwa ajili ya lugha za kigeni,kwanini sisi tena lugha yetu ni ya kitofauti sana
 
Mkuu kuna katofauti flani kati ya kudhamini na kuthamini!
 
feed back-mshindo nyuma

mfano: Juma nipatie mshindo nyuma huko uliko toka


ama unaweza sema;- peleka ujumbe huu na urudipo nipatie mshindo nyuma anasemaje juu ya barua hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…