Siku zote nimekuwa nikijua kuwa lugha haiundwi na kikundi cha watu kama wafanyavyo Baraza la Kiswahili la Tanzania kutengeneza maneno magumu wanayoyaita Kiswahili.
Lugha huja yenyewe kama tulivyozaliwa tukaikuta, na mababu zetu kabla yetu walivyoikuta.