Misc (amendement)act no 3 ya 2012

Misc (amendement)act no 3 ya 2012

7son

Senior Member
Joined
May 24, 2012
Posts
174
Reaction score
36
Jamani naomba kama kuna mtu ana nakala ya marekebisho ya ya sheria yaliyopitishwa na bunge letu tukufu jana tarehe 08.02.2013.

Najua JF ni Jungu Kuu hivyo sina shaka document itapatikana ukizingatia tuna wabunge wengi humu.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Sheria lazima isainiwe na rais,haiwezi kupatikana kirahisi hivyo,labda upate mswada(mapendekezo)ambayo itakuwa siyo sheria.
 
Jaribu kuwa na subira muda ukifika wadau wataweka jamvini kila kitu.
 
Back
Top Bottom