Miscarriage / Kuharibu Ujauzito

Miscarriage / Kuharibu Ujauzito

Mwinyi_tza

Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
23
Reaction score
5
Habari ya Mchana wana JF, naomba kujuzwa inachukua muda gani tena kwa mwanamke aliyeharibu ujauzito kuanza kutafuta ujauzito mwingine / yaani anatakiwa kukaa muda gani ili ashike tena ujauzito?
 
madaktari wanashauri akae angalau miezi 6 ndio ashike mimba nyingine...maana kwa muda huo kizazi kinakuwa kimepona na hata factor iliyosababisha mimba kutoka inaweza kuwa imeisha
 
Asante sana kwa Ushauri / maoni yako
 
Miezi miwili na nusu mkuu
Fanya juu chini asafishwe vzr ,kaa baada ya miezi 6 tafuteni tena mimba nyingine mtapata tuu na kuwa makina na mkeo akiwa mjamzito usimpe stress,asifanye kazi ngumu au kama unapesa akipata tuu mimba muweke bed rest hospital bac ushamaliza mtoto mnapata na mimba aitoki tena.
 
Asante sana...ninazingatia ushauri wako
 
Fanya juu chini asafishwe vzr ,kaa baada ya miezi 6 tafuteni tena mimba nyingine mtapata tuu na kuwa makina na mkeo akiwa mjamzito usimpe stress,asifanye kazi ngumu au kama unapesa akipata tuu mimba muweke bed rest hospital bac ushamaliza mtoto mnapata na mimba aitoki tena.
Alipewa vidonge vya kusafisha na akapiga ultra sound yuko vzr hakuna Uchafu mwingine uliosalia
 
Habari ya Mchana wana JF, naomba kujuzwa inachukua muda gani tena kwa mwanamke aliyeharibu ujauzito kuanza kutafuta ujauzito mwingine / yaani anatakiwa kukaa muda gani ili ashike tena ujauzito?
Inashauriwa miezi 6
 
Back
Top Bottom