Ichwampaka
Senior Member
- Nov 19, 2018
- 145
- 118
Amendments to the Companies Act, Copyright & Neighboring Rights Act, Films and Stage Plays Act, Non-Governmental Organizations Act, Societies Act, Statistics Act, Tanzania Shipping Agencies Act and the Trustees Incorporation Act
Wataalamu mliopo humu tusaidieni sisi tusio wataalamu mabadiliko hayo yanalenga nini? Maana muda uliotolewa wa miezi miwili (2) ni mfupi sana kuweza kuhama kwenye mifumo hii.
Je ni sahihi kuelewa kuwa kampuni ambayo ni limited by guarantee ina options mbili; aidha kujibadilisha na kuomba kusajiliwa kama NGO au kujibadilisha na kuwa kampuni yenye ukomo wa hisa ( limited by shares)
Je kwa kampuni ambayo ni limited by guarantee na haina NGO certificate compliance; je itaanza kuomba usajili toka chini kabisa (Mtaa, kata, wilaya, Msajili) au itaanzia moja kwa moja kwa msajili kutokea BRELA?
BOT toeni haraka kanuni mpya za Microfinance kwasabababu zitakuwa na athari katika maamuzi haya ya kuhama kwa upande wa kampuni za Microfinance ambazo ni limited by guarantee. Kwenye draft regulations fomu mliyoweka ya kuomba usajili mmeonyesha kampuni zinazotakiwa ni Limited by Shares wakati huku nyanjani kuna kila aina ya organizations. Tafadhali toeni kanuni haraka ili tuamue kama kuwa shareholding au twende NGO.