Misemo ilivyo-trend.

Sisi wanaume ni viumbe wastaarabu sana!! Dada anapokuwa kavaa bikini na bra tu,asilimia kubwa ya mwili wake unakuwa wazi.... Sisi kwa ustaarabu wetu,huwa tunaangalia pale palipo funikwa tuu... 'hatutaki dhambi za kijinga sisi'.
 
Hii kitu ya "Sipendagi ujinga" imebamba haraka sana sijui ilikurupuliwa wapi..?
 
Fey shupa: Baby Safari Hii Nataka Pale Hostel Niwafunike Mashoga Zangu Wote.

Nandulen: Poa Sweetie Ondoa Shaka Nitakununulia turubai Utawafunika Wote...!!! Feyshupa: Mxiuuuuuuuu Lione Sura Kama Goti La mbuzi Na Namba yangu futa Nakublock Mpaka Sanduku la posta...!!!


"Sijaribiwagi mimi"
 
Nipo na shemeji yangu mzungu...ananiletea vtu ambavyo sivielewi...
Shemeji mzungu: Your frnd is not around, can we hang out for sometime?
Mimi: *IT DOESNT HAVE INLAWSHIP, WE EAT*

*Sijaribiwagi mmi!*
"you ladies can't eat. you are eaten"
 
Kuna demu nilimtongoza akanambia atanikubalia siku *Pogba* akifunga na ndo yupo kwenye bodaboda anakuja;

*Sipendi ujinga mimi*

[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu mchezo hauhitaji hasira , huu msemo nao umedumu!

Mi naona kama Lady jaydee ndo aliuanzisha wakati Wa kampeni yake ya Naamka tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…