Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Wakuu,
Kuna vimesemo na vijimaneno huwa vinazuka na kubamba na kisha kupotea baada ya muda. Unakumbuka msemo gani uliobamba sana na kusepa na kijiji? Tupia hapa na watoto 2000 wapate vya kusimulia.
Si mbaya ukaeelezea kwa kifupi msemo ambao unaona sio maarufu kwa wengi, utuambie ulitokea hapi na ikawaje ukabamba.
Haya ni baadhi ya ninayokumbuka;
Sasa inayobamba ni, I HATEE YOUUUU.... Mtoto mdogooo kutoka kwa bwana Top in Dar mwenyewe, pamoja na Nasimama na Mama kutoka kwa chawa pro max.

- Upepo wa kisulisuli - Rwakatare
- We umesikia wapi
- Maake hapo kwanza ncheke
- Soma hiyo
- Kivumbi leo
- Mjegegeje
- Acha fezea
- We zombi, aujui
- 900 itapendeza
- Upepo wa kisulisuli
- Pesa nyingi maneno kidogo
- Kadri unavyopanua ndiyo wanavyotamani - Tibaijuka