VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Tukumbushane misemo inayotingisha Mahakamani:
1.Msomi mwenzangu(My Learned brother/Sister)-Wakili anapomtaja Wakili mwingine Mahakamani
Karibuni wana JF..
Nolle proseque
Tukumbushane misemo inayotingisha Mahakamani:
1.Msomi mwenzangu(My Learned brother/Sister)-Wakili anapomtaja Wakili mwingine Mahakamani
Karibuni wana JF..
Mbona hao vilaza wa Tumaini ndio wengi wanamaliza fasta Law skuli ukilinganisha na majiniazi wa UDSM? kuna siri gani hapa?wanavyoitanaga msomi mwenzangu hunikosha sana hawa jamaa!!!unakuta mtu katandika suit yake ya adabu chini mkwaju wa maana maconfidence ya hatari!dah.....nawakubali sana wenye taaluma hii kuanzia mionekano ya mavazi mpaka wengi wao vichwa vyao vinavyochemka japo miaka ya karibuni naona fani imevamiwa hasa baada ya ujio wa Tumaini University ambapo hata kilaza anavishwa joho!
Samahani Mkuu,nemo judex causa sua yamaanisha mtu hawezi kusikiliza kesi yake mwenyewe.Ni hayo tu Mheshimiwa..Ukiweka Kilatini uweke na tafsir...ndiyo ustaarabu!