masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
unaringia sura , suralajo renyewe kama takooooosura yako imekaa mkao wa tafadhari nipigie
HahahahahaUnariiiinga kumbe demu mwenyewe masai!!!! Misemo mingine jamanii...loh
Hahaa maneno ya mkosajiEti una jidai na vipesa vyako
vipesa vyenyewe vya kuuza shamba
shamba lenyewe la urithi
na kesi iko mahakamani.