Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
Zamani sisi old skool tulikuwa na mismeo yetu
BABA = DINGI
MAMA = MAZA
UGALI = BONDO
Kuaga unaondoka unasema unajikata
Shilingi mia = JITI
Shilingi mia tano = JERO
Shilingi tano = DALA
Shilingi ishirini = MBAU
Shilingi alfu = BUKU
Afande = NDULA
Mpenzi = KISHTOBE
Mengine ongezeni wenyewe
Mkuu Gome ni shilingi tano ya kizamani sana enzi hizo ilikuwa noti, enzi za raizoni hizo....LOLShilingi mia= bati
Ugali = nguna
Mwalim = Ticha
Miatano = gome
Dar es salaam = City
Mitindo ya mavazi:
Moca
Don't touch
Tina
Unyoaji nywele:
Push back
Inaelekea maaskari wana majina mengi aisee; njagu, ndata, mwera, afande, wazee, wenye nchi, serikali ...
Kidenishi=mpenzi wa jinsi tofauti nawewe