Misemo ya kichaga!

Tatizo hii lugha yetu haipo kwenye maandishi. Ni ngumu kuiandika kiasi unapotosha maana na utamu
 
Ngoja nimtafute mpare kwanza, maana bila hivyo mtanizidi ujanja. I'll be back soon!
 
namto......aaagh hii salamu ndo matusi matupu hapo mwisho malizia mba
 
ngikapa kapa rangi upepo baana! - Napiga piga rangi upepo tuuu!

Ambony tsa mpfiri mekwakwa? - Habari ya siku nyingi mzeiya?
 
Jamani tukiandika hebu tuandike na maana ili na wengine wafaidike, au mnaonaje?
 
ngikundi kuenengia shindo baana - Nataka kukupa vitu
 
chi Namtombe lulera Nangotombe au kchosinda kingotony mbee!
 
Ivi nikweli neno KINU kwa kichaga ni tusi?
 
Sio tusi ila ni kiungo cha mwili tu, tena wa Binti au mwanamke
 
Enyi wana?Kichaka kya kwi eki muudeda?manake ngacheelewo kabisa fwee.Jamani yaa mmba kuifo nndu aukye kioso lo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…