Misemo ya Kizamani

Nita kunyuka=Nitakupiga.
Mnyali=Mwangalie.
 
mkitaja misemo hiyo! kama unakumbuka tupeni na miaka basi na hali iyopelekea kuibuka kwa maneno hayo - kama inakubukwa
 
Kula kona
mtu mwenyewe andunje
jaa pipo
 
Kudinyana-kufanya mapenzi.
Kila bati-jifanye bionic au jifanye hujui.
 
bishoo
Mabishoo wa Bongo... Mwache Sooo....
 
Baja = Neno Baja lilikuja kuwa replaced na Neno Noma ambayo yote yakimaanisha Aibu au Haifai mbele za jamii

***** Mtozeni..

Fogo - Tajiri

Yanga makopo Simba Imara..
 
Changudoa = Watoto wa Mitaani omba omba haswa walikuwa ni wagogo city centre walikuwa na nguo chafu zenye madoa doa wakafananishwa na Samaki Changudoa Jina likawakaa waliposaidiwa na serikali jina likahamia kwa Wadada Poa hadi Leo hii Wanaitwa Machangudoa...

Kucheza Mableka - Mcheza Black Dance Al Maarufu Black Moses
 
Nita kuniga-nitakupiga.
Nita kudedisha-nita kuuwa.
 
kishtobe

sakala mento

meli ya kijapani. Kiabaharia inaitwa ro-ro (roll on-roll off, ina mlango wa kupakia/kupakulia shehena kwa nyuma. Magari na "falklift ") yanaingia kupakia na kupakua
 
Manzi-mama

mmh Hii nijuavyo mie Manzi ni Demu.. na huwezi kumuita mama yako Manzi! Pengine ni miaka Gani hiyo?

Dingi ilijulikna na haukuwezekana kumuita baba Dingi!
 
Ambaa Huko..! = Nenda zako huko

Kwendega.!

Maliwato - Bafuni

Banzooka = Bublish

NAngatai = Biscuit za Wahindi kama ulishawahi zila huku ukishushia na Sun vita Wa Muhimbili pr School Wanajua haya kwa Mzee Taibari
 
Bwenzi = nywele chache zilizosimama wima mbele juu ya kichwa..

Sugardaddy

Shangingi

Blazamen

Mnyamwezi

Magirini - Mdanganyifu flan au anayediai kama anajua vitu zaidi.

Melikebu

Mkweche - Haswa magari yalikuwa yanaitwa Gari lenyewe Mkweche.. au kopo

Masantula Ngoma mpwita!

Disco kuruka Debe

Kuruka Majoka

Jokofu - Kabati la Mbeho /Fridge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…