Misemo ya Mbwiga wa clouds.

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,455
Reaction score
1,621
Jamani huyu jamaa anaitwa Mbwiga wa redio clouds ana misemo inayofurahisha sana hebu tupia hapa unayoikumbuka; mimi ninayo miwili.
(1)mtoto hatumwi dukani.
(2)kuku mweusi hafukuzwi usiku.
 
hana lolote, sauti mbovu tu..!

walikuwa wanamuweka kama mchambuzi kwenye ndondo cup, anaongea ujinga tu muda wote...!
 
hana lolote, sauti mbovu tu..!

walikuwa wanamuweka kama mchambuzi kwenye ndondo cup, anaongea ujinga tu muda wote...!
Hovyo sana yule jamaa.Alikua ananiharibia utulivu wkt nafuatilia ndondo cup.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Jamani huyu jamaa anaitwa Mbwiga wa redio clouds ana misemo inayofurahisha sana hebu tupia hapa unayoikumbuka; mimi ninayo miwili.
(1)mtoto hatumwi dukani.
(2)kuku mweusi hafukuzwi usiku.

Mkuu una miaka mingapi? Mbona hiyo misemo ni ya kijinga sana. Umesoma shule japo hata la 7 umefika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…