Misemo ya Mitaani unayopata ukiwa HOT and SEXY!!


mbona unabania stori mazee? jiachie elezea.
 
kama mwanamke no hot na mjuzi kitandani hiyo ni nusu shari tayari
shari kamili utaipata ukimuweka ndani lol


hapa unataka usababishe Cool Gentleman asinichague kuwa mke mwema.

acha hizo The Boss, haitakuwa shari. kwan hata wewe huniwez?
 
Last edited by a moderator:
dah,nilikuwa captain car wash hapo pembeni kuna rasta anafunga music kwenye gari,ukupita mitaa hiyo kweli....
 
I think you have straight A's when it comes to being a bit freakish(this aint a bad thing) hopefully you also master the ladylike tempo.


Deep from my heart. i wish we could have a conservation. Then u b a judge of that. :wink2:
 
Erotica, ulikuwa unatembea uchi? Halafu Sakina ni Uswahilini, hebu nihabarishe
 

Mitaa ya sakina uswahilini ndio wapi huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…