Misemo ya Mpoki jamani!

Kumbe hauishi bongo!basi huwez kucheka comedy za kibongo znaendana na mazingira!mwenyewe huwa napata shida sana kucheka comedy za wazungu au wamerakani maana I can't relate ! I guess that's your problem too mkereketwa!


Siishi Bongo ila kwa sasa nipo hapa huu mwezi wa tatu nakaribia kuondoka tena. Ninajaribu sana kuelewa ni nini haswa watu wanacheka kwenye ze comedy. Kiukweli hata acting yao is pathetic. Siyo kama nakandia ze comedy (maana mtanzania mkimwambia ukweli anadhani unakandia), ila jamaa hawana ishu. Mbona nina enjoy drama series nyingi tu za kibongo na hata comedi za king majuto na mze small zinafurahisha shinda hata hawa ze comedy. Tatizo siyo kuishi nje, ila sioni uchekeshaji wao, ni wa kitoto mno dizaini ya ngumbalu.
 
Wacha Uoga hata Jogoo alikuwa Yai by Mpoki.
 
Mkereketwa_Huyu, hahahaaaaaa ameolewa x2 wapi hahahaaaaa kule ulayaa...!

msinishambulie sana nilikuwa najikumbusha enzi hizo tunakimbia mchakamchaka aisee ilikuwa noma!

 
hahahah...............tumbo linauma
kuna moja alisema ile tabia ya watu wa kigamboni wakishuka kutoka kwenye pantoni kukimbia baadaye watakuja kuwa wanariadha mahiri.................hafu hii ni kweli najiuliza sana kwanini uwa wanakimbia?

Sio Kigamboni tu karibu vivuko vingi, issue hapa ni kwamba mara nyingi upande wa pili wa kivuko huwa kuna usafiri ambao unategemea zaidi abiria wanaotoka kwenye pantoni hivyo anaejaza ndio anaondoka hivyo ukichelewa kupanda gari maana yake utabaki pale mpaka pantoni nyingine ije, ila kwa kigamboni nadhani wao ni kuwahi daladala tu na si vinginevyo
 
Mpoki noma huyu jamaa, kuna siku alisema sasa leo kama shuzi limepata mjambaji.. dah nilicheka sana kiukweli
 
unajitia mapana ya kabati wakati miguu ya stuli.
 
[h=6]Mwenye funguo za Benzi au Renji Rova aniazime nikwangulie vocha[/h]Pesa haitolewi fotokopi.

[h=6]Hata aliyegundua Supra, huwa analala peku![/h]
 
"kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport"..
 

ahh we ulitaka tujue umeolewa huko ulaya. Hongera zako
 
Biashara ya nyanya haikamiliki bila tenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…