Misemo ya Mpoki jamani!

Mi napenda sn comedians kwani husaidia kuondoa stress baada ya kazi. Sio siri mpoki ananikuna sana .
 
Mkereketwa_Huyu, hahahaaaaaa ameolewa x2 wapi hahahaaaaa kule ulayaa...!

msinishambulie sana nilikuwa najikumbusha enzi hizo tunakimbia mchakamchaka aisee ilikuwa noma!

huna lolote fanya yako acha wafanye yao kwa fans wAo!
 
hata uwe nahodha hodari namna gani huwezi endesha meli kwenye swimming pool
 
shati lililo toboka(chakaa) ndo dekio jipya.

Join Date : 30th January 2008
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received 4

Likes Given 4





Jina lako mod(Active) haliendani na uhalisia(Since 2008 una 2 Posts and still Active) lol i'm just tinkin'
 
Kifo kama foleni ya maji kisimani, ikijaa ndoo ya mwenzako yako inasogea.
 
kifo kama ndoo ya maji ya mwenzio ikajaa zamu yako imesogea
 

mkuu hawana jipya hao! Washafulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…