Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,165
Dah......Hivi ipi ni gharama kubwa katika maisha....kodi ya nyumba au nauli ya taksi??πππππππNamba 5 na 7 vimenichekesha.
Ila kwa namba 14, siwezi kununua gari wakati sijajenga-Naunga hoja.
Nauli ya taksi inapatikana kirahisi kuliko mjengoDah......Hivi ipi ni gharama kubwa katika maisha....kodi ya nyumba au nauli ya taksi??πππππππ
Dah..Sasa kwanini uanze kuhangaika na vitu vigumu??? πππππNauli ya taksi inapatikana kirahisi kuliko mjengo
HUWEZI KUNIJIBU MIMI HIVYO
1.Siwezi nunua gari kwa mkopo
2.Huyo bwana wake mkubwa kuliko yeye, alifuata pesa tuu
3.Iphone kitu gani, simu simu tuu bora mawasiliano
4.Siwezi kula chakula cha kwenye fridge
5.Anajifanya amesoma lakini hata haolewi
6.Siwezi endesha Vits bora nitembee kwa miguu
7.Kuolewa ni stress tuu bora nikae single
8.Microwave inaleta cancer
9.Anaendesha V8 halafu anaishi uswazi
10.Hiyo nguo anajifanya amenunua laki tatu wakati ni elfu thelathini tuu kariakoo
11.Hiyo Kazi aliipata baada ya kutembea na bosi
12.Hata kama ana degree, maisha yake sawa tuu na yetu
13.Kwani Mercedes ina miguu mitano, gari gari tuu
14.Siwezi nunua gari wakati sina nyumba
15.Anaenda gym kila siku lakini ana umbo bayaa
16.Anajifanya kuongea kizungu wakati kwao shamba tuu
17.Anaringaaa, Ataachwa tuu
18.Ana umbo zuri lakini hajui kuvaa
19.Usione amenenepa hivyo anatumia ARV
20.Hakuna jipya kwenye ndoa
ONGEZEZEA NILIYOISAHA
Ni kweli kwamba hampendani au ni kashfa tuNi mzuri lakini haolewi
Sivutii lakini niko mtamu, hii ni kwa sisi wanawake kama mjuavyo hatupendanagi
Ni kweli mkuuNi kweli kwamba hampendani au ni kashfa tu
DaaaaaNi kweli mkuu
Wengi wao ni unafikiDaaaaa
kwa hio unakuta wadada kwenye magrup ya watsap wanaitana shosti na majina mengine mazuri mazuri ni unafki tu au sio?
HahahahaahaKwa serikali hii ya stress (awamu ya tano), mimi sitaki cheo chochote....wacha tu niishi kwa kuuza mchicha mtaani.
ππππahahaaa watu wahumu ndani Hivi mmerogwa hahaa
mimi nadhani hata hao TCRA KAMA HUWA WANAZIONA HIZI COMMENT HUWA WANAISHIA KUPUNGUZA STRESS KWA VICHEKO HAAHAA
kweli mkuu plus wahaya..tatizo matoke,wana-squirt balaa..mpaka rahaHiyo namba 24 ni kweli? Kuna mtu anatafuta sampuli hizo.