Misemo ya watu wenye wivu ongezea yako

Tumezoea kuna kuna baadhi ya watu hawapendezwi na Maendeleo ya wenza wao hivyo kufikia kukashifu au kuzusha lolote ilihali kukuchafua tu...
Utawasikia wakisema;

1.Siwezi nunua gari kwa mkopo
2.Huyo bwana wake mkubwa kuliko yeye, alifuata pesa tuu
3.Iphone kitu gani, simu simu tuu bora mawasiliano
4.Siwezi kula chakula cha kwenye fridge
5.Anajifanya amesoma lakini hata haolewi
6.Siwezi endesha Vits bora nitembee kwa miguu
7.Kuolewa ni stress tuu bora nikae single
8.Microwave inaleta cancer
9.Anaendesha V8 halafu anaishi uswazi
10.Hiyo nguo anajifanya amenunua laki tatu wakati ni elfu thelathini tuu kariakoo
11.Hiyo Kazi aliipata baada ya kutembea na bosi
12.Hata kama ana degree, maisha yake sawa tuu na yetu
13.Kwani Mercedes ina miguu mitano, gari gari tuu
14.Siwezi nunua gari wakati sina nyumba
15.Anaenda gym kila siku lakini ana umbo bayaa
16.Anajifanya kuongea kizungu wakati kwao shamba tuu
17.Anaringaaa, Ataachwa tuu
18.Ana umbo zuri lakini hajui kuvaa
19.Usione amenenepa hivyo anatumia ARV
20.Hakuna jipya kwenye ndoa
ONGEZEZEA NILIYOISAHAU
 
Hahahahahaaaa!!!!hizi ni sifa tu za wanadamu
 
Hahahaha Microwave inaleta cancer jmn jmn binaadam buana hatukosi maneno kila kukicha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo duka atafunga tu.


Umekuja kwa kasi, utaweza hizi biashara zote???!
 
'huyo mbona ni jamvi la wageni'

anakuharibia tu,ukimuacha yeye anamchukua
 
'ile nayo gari au baby walker?'

ukiangalia yeye hana hata baiskeli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…