Misemo yenye utata kati ya abiria na Kinda..

Young Nas

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
372
Reaction score
638
Me Baadhi iliyonipa Utata hii

..............
[emoji117]Jamani Nimekaa vibaya ntakupa....[emoji1787]
[emoji117]Subilia nakupa......
[emoji117]Atakupa yulee NYUMA[emoji85][emoji848]
[emoji117]SUBILIA isimamee Nakupa is [emoji849]
.
.
.
.
HAYA WAJUMBE KAZI KWENU TIRIRIKENI.....

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kinda mmoja aliniambia

"Kalia ndoo"

Nikamwambia

haijasimama vizuri

Means inatikisika,

Walinicheka nkamaind baadae niliposhuka kuna mtani wangu nilipanda nae akanikumbushia nilivomjibu eti walimaanisha vingine nilichukiaaaaaaa! Nageuka kuiangalia daladala haupo.
 
𝐈𝐧𝐠𝐞𝐬𝐢𝐦𝐚𝐦𝐚 𝐮𝐧𝐠𝐞𝐢𝐤𝐚𝐥𝐢𝐚! ...𝐝𝐚𝐡 𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚
 
Kuna kinda mmoja aliniambia

"Kalia ndoo"

Nikamwambia

haijasimama vizuri

Means inatikisika,

Walinicheka nkamaind baadae niliposhuka kuna mtani wangu nilipanda nae akanikumbushia nilivomjibu eti walimaanisha vingine nilichukiaaaaaaa! Nageuka kuiangalia daladala haupo.
[emoji1787][emoji1787]poleee mzee baba

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
WASIOPANDA DALADALA WANAKOSA UHONDO WA KAULI HIZI:
1) Nitakupa.
2) Atakupa mbele.
3) Hujapewa mbele?
4) Utapewa nyuma.
5) Nitakupa nikikaa vizuri.
6) Ngoja isimame nikupe.
7) Subiri asimamishe nikupe.
8) Hivi nilivyokaa nitakupaje?
9) Utapewa tulia.
10) Nikupe mara ngapi?
11) Msimpe nimeshampa huku mbele!
 
Kuna kinda mmoja aliniambia

"Kalia ndoo"

Nikamwambia

haijasimama vizuri

Means inatikisika,

Walinicheka nkamaind baadae niliposhuka kuna mtani wangu nilipanda nae akanikumbushia nilivomjibu eti walimaanisha vingine nilichukiaaaaaaa! Nageuka kuiangalia daladala haupo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WASIOPANDA DALADALA WANAKOSA UHONDO WA KAULI HIZI:
1) Nitakupa.
2) Atakupa mbele.
3) Hujapewa mbele?
4) Utapewa nyuma.
5) Nitakupa nikikaa vizuri.
6) Ngoja isimame nikupe.
7) Subiri asimamishe nikupe.
8) Hivi nilivyokaa nitakupaje?
9) Utapewa tulia.
10) Nikupe mara ngapi?
11) Msimpe nimeshampa huku mbele!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kinda mmoja aliniambia

"Kalia ndoo"

Nikamwambia

haijasimama vizuri

Means inatikisika,

Walinicheka nkamaind baadae niliposhuka kuna mtani wangu nilipanda nae akanikumbushia nilivomjibu eti walimaanisha vingine nilichukiaaaaaaa! Nageuka kuiangalia daladala haupo.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom