Misemo yenye utata kati ya abiria na Kinda..

Acha "Makonda" wawe wakorofi na jeuri kwani sisi nasi abiria ni "Kero" Kwao.

Huyo huyo abiria asemaye subiri gari isimame nitakupa nauli yako, cha ajabu simu yake ikiita anaitoa toka mfuko huo huo na kupokea.

LUGHA ZAO HIZO SOMETIMES NI BURUDANI TOSHA KWA ABIRIA !!
 
Kwenye upande wa mizigo ndio shida kabisa
1.Wewe dada mwenye mzigo mkubwa weka vizuri mwenzio aingie
2. Unamzigo mkubwa sikubebi
3. Mzigo wako mkubwa ongeza hela
4. Mama na hilo pipa lako /mzigo wako unaenda wap
5. Pandisha mzigo huo tuamshe
6. Mpe mzigo yule mjomba pale mbele
7. Dereva tuchukue huyu mwenye limzigo/ kamzigo kadogo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Kalia ndoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…