Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Mishahara ya clouds inakusadia nini wewe?
Hao ni walamba viatu vya JK na wafuasi wake achana nao.
Niliwahi kusikia ni kati ya 200000- 300000!
wanafanya kazi for free wapate cheap popularity hao....150,000
wanapewa pesa ya kula tu! wanachopewa kikubwa ni uhuru wa kuongea mawazo yao kama watangazaji bila ya kujali yanawakera watu wangapi
Niliwahi kusikia ni kati ya 200,000- 300,000!
Kumbe mikubwa inazidi kima cha chini cha serikali
Wakuu heshima mbele,
Ningependa kujua mishahara ya wafanyakazi wa Clouds Radio na Tv tafadhari, hususani watangazaji.
mshahara si kipimo cha maendeleo ya mtu.....vijana wanatafuta ridhiki iliyo halali je tungependa wawe vibaka!sometimes chuki zisizidi waungwana.....
laki 8 up to 1.5 mil per month na GADNER G anarudi next season ba atalipwa mshahara mnono kuliko wote kwasababu alitoka ili kuepusha shari na ameondoka kituo kimepwaya eti!
Mbona hutaji wanawafurahisha wangapi..??? Ili ujuwe kwamba wanakera au la ni lazima uwasikilize...........hivyo inaonyesha NAWE NI MMOJA WAO.........wanapewa pesa ya kula tu! wanachopewa kikubwa ni uhuru wa kuongea mawazo yao kama watangazaji bila ya kujali yanawakera watu wangapi
laki 8 up to 1.5 mil per month na GADNER G anarudi next season ba atalipwa mshahara mnono kuliko wote kwasababu alitoka ili kuepusha shari na ameondoka kituo kimepwaya eti!
Niliwahi kusikia ni kati ya 200000- 300000!
stupid thread